Kiswahili/ Utangamano Na Maendeleo Endelevu Africa Mashariki
Author: Walibora, K. W; Kipacha, A. H Simala, K.I Category: Books (Others), Books at the Centre Publisher: KAKAMA Published: October 9, 2024
Description:
Lugha na fikra zina ukuruba mkubwa sana na zote mbili ni mazao ya utamaduni wa jimii husika. Tunaweza kuifahamu jamii na utamduni wake kupitia lugha inayozungumza .