UONGOZI NA UTAWALA WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Author: PIUS MSEKWA Category: Books (Others), Books about Julius Nyerere, Books at the Centre Publisher: Nyambari Nyangwine Publishers Published: January 2, 2025
Description:
Nilipata bahati ya kumfahamu baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ,kutokana na kufanya naye kazi kwa karibu sana takribani kwa kipindi chote cha uongezi wake. Nilipoanza kazi katika ofisi ya Bunge, Dar es Salam nilimkuta Mwalimu Nyerere akiw ni mbunge wa Kuchabuliwa wa Jimbo la Mashariki.