Majukumu ya Nchi za Kusini
Author: RIPOTI YATUME YA KUSINI Category: Books at the Centre, Magazines, Articles and Publications Publisher: Tanzania Publishing House Published: October 9, 1993
Description:
Licha ya hali hizi, ripoti hii inabaini chembe ya matumaini na inajenga hoja yenye nguvu ya haja ya kuwa na mikakati ya kujitegemeea ya kuleta maendeleo yanayoxingatia watu. Aidha inasisitiza kwamba mafanikio ya mikakati hiyo yatapelekea siyotu katika mafanikio zaidi ya kiuchumi bali pia katika mafanikio ya ushirikishwaji wa watu, heshima ya misingi ya demokrasia na haki za binadamu na hatua za kuzuia rushwa na ubabe wa nguvu za kijeshi