No Image Available

BINADAMU NA MAENDELEON

 Author: Julius Kambarage Nyerere  Category: Books about Julius Nyerere, Books at the Centre  Publisher: OXFORD UNIVERSITY PRESS  Published: April 13, 1974
 Description:

i dhahiri kwamba watu wanaweza wakawasaidia watu wengine wanaojitahidi kujitafutia uhuru. wanaweza kuwahifadhi wapigania uhuru, wakawapa vifaa na nafasi ya shughuli zao; na wanaweza kuwatia moyo au kuwasaidia kibalozi watu wanaoonewa. lakini hakuna kikundi, au taifa, hata likiwa na nguvu namna gani, linaloweza kukikomboa kikundi kingine au taifa jingine likawa huru. juhudi hizo lazima zifanywe na wale wanaotarajia kuufaidi uhuru huo.

 Back