Kamusi ya Kiswahili Sanifu
Author: Oxford University Press Category: Books (Others), Books at the Centre Publisher: Oxford University Press Published: September 16, 2024
Description:
Hili ni toleo lanne la kamusi ya Kiswahili Sanifu. Toleo la kwanza lilitolewa mwaka 1981. Toleo hilo lilikuwa Kamusi ya kwanza ya maneno sanifu ya kiswahili .Toleo lillofuata lilichapishwa mwaka 2004.